Header Ads

Hatimaye Roma na Wenzake Wapatikana

Kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Roma pamoja na wenzake wamepatikana na kwa sasa wapo kwenye kituo cha pilisi Oysterbey kwa mahojiano.
 Tunazidi kutafuta taarifa zaidi juu ya walipokuwa na walivyopatikana tutawajulisha hapa hapa.

No comments:

Powered by Blogger.