Header Ads

Mwana FA Apigiwa Simu na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...!!


Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, jana amempigia simu Msanii wa Muziki wa Hip Hop ndugu Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA aka Binamu, na kusema yeye ni mpenzi wa kazi zake haswa Wimbo wake unaotamba anga za Miziki wa #DumeSuruali ambao alimshirikisha Vanessa Mdee. Moja ya ya Msitari anaoupenda ni "Utoe hela kwani ina TV ndani?"

"Nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais Magufuli kunisalimia na kuniambia yeye ni mpenzi wa kazi zangu,haswa#DumeSuruali" amesema MwanaFA kwenye Ukurasa wake wa Twitter

No comments:

Powered by Blogger.