Header Ads

Baada ya Kiki za Hapa na Pale Hatimaye Harmorapa Kusainishwa Dili Nzito Kwenye Kampuni Hii ya Vinywaji Kama Balozi..!!


Harmorapa msanii ambaye anatrendi sana katika mitandao ya kijamii Bongo, anatazamiwa kuwa balozi wa Kinywaji kiitwacho Swala.

Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu, Hamorapa amefunguka kuwa yupo katika mazungumzo na kampuni inayozalisha kinywaji hicho na anatarajia kupata dili nono ya kukitangaza kinywaji hicho.

No comments:

Powered by Blogger.